Jesusie
JF-Expert Member
- Aug 29, 2021
- 1,373
- 723
Hebu eleza wewe kama CHADEMA ukipewa hii nchi utafanya mambo gani?Haya ndiyo matatizo ya nchi yetu, kwa sasa tumegeukia Utalii kama njia ya kunyenyua uchumi wetu baada ya viwanda kushindikana.
Kila awamu na priority yake, hapa ndipo tunapokwamia - hatuna mwendelezo wa hizi awamu unaosimamiwa na sheria.