Watalamu wa IT, msaada wenu

FOX21

JF-Expert Member
Oct 12, 2018
426
780
Heri ya uzima ndugu zangu!!!

Naomba kujuzwa ni app gani ya computer naweza kutumia kucopy\kuhamisha mafile nikiwa nimeconnect USB kutoka kwenye simu na laptop. Nikafanikisha kucopy {from smartphone to pc💻} bila kutoka lock ya simu📲. 🙏🙏🙏🙏
 
Simu ili iweze kuwa accessed na computer lazima uchague aina ya connection unayohitaji. Na mara nyingi hii inachaguliwa kwenye simu. Labda kama umeseti kwamba computer ijichagulie aina ya connection.
 
Attachments

  • Screenshot_20201126-142134.png
    Screenshot_20201126-142134.png
    57.1 KB · Views: 1
Simu ili iweze kuwa accessed na computer lazima uchague aina ya connection unayohitaji. Na mara nyingi hii inachaguliwa kwenye simu. Labda kama umeseti kwamba computer ijichagulie aina ya connection.
Nimekuelewa mkuu, ila mm nilitaka niweze fanya access moja kwa moja Kama itawezekana bila kufanya oppsion kwenye simu.
 
Simu kama ukiwasha inaomba password kabla ya kuwaka kabisa means ipo encrypted,uwezi kucopy kitu hata ukiwa Na software gani ,
Simu ikiwaka na kukawa Na password vile vile ku copy data ngumu bila kutoa password
Unaweza tu kufanikiwa kupata data kwa simu ambayo ina password ila ajawa encrypted
 
Heri ya uzima ndugu zangu!!!

Naomba kujuzwa ni app gani ya computer naweza kutumia kucopy\kuhamisha mafile nikiwa nimeconnect USB kutoka kwenye simu na laptop. Nikafanikisha kucopy {from smartphone to pc} bila kutoka lock ya simu.
Jambo hilo haliwezekani. Lazima utoe lock ya simu ndio uweze ku access ma-file ndani ya simu.
 
Back
Top Bottom