Watalaamu nahitaji msaada wenu

Tony Yeyo

JF-Expert Member
Mar 10, 2014
723
544
My future wife amesoma nje ya nchi...amesomea kozi ya injia.. ila matokeo yake si mazuri sana.... Nachotaka kuuliza.. Je afanyaje ili aweze kurekebisha maksi zake kwa baadhi ya masomo aliyofanya VIBAYA...

Je anaweza kufanya ilo akiwa Tanzania?

N. B nchi aliyosoma hawana mfumo wa G. P. A
 
Una haraka gani mkuu si utulie uandike vizuri.

Back
Top Bottom