Watalaam wa simu Masada wenu hapa

kinywanyuku

JF-Expert Member
Jul 13, 2015
3,139
2,000
Wakuu habari zenu nina simu mpya aina ya itel 1408 nimenunua mwezi wa kwanza sasa tatizo La hii simu inaganda ganda nikitumia internet na meseji inaganda halafu inazimika japo mpya tatizo hili lipo tangu siku ya kwanza nimeinunua nilifikiri network kumbe siyo naomben msaada nashndwa hata kuenjoy internet duka nililonua wanakataa kubadilisha
 
TASK FORCE

JF-Expert Member
Apr 7, 2017
2,473

Kaflash
 
Tyupa

JF-Expert Member
Aug 11, 2013
802
1,000

Warudishie waliokuuzia wakupe nyingine.
 
TASK FORCE

JF-Expert Member
Apr 7, 2017
2,473
2,000
Mkuu ukiflash siitaaribika maana huwa nafahamu wana flash simu zinazotumia line moja zingine inakataa
Hizo simu haina ya itel na Techno vimeo sana,, hata ukinunua mpya haichukui muda inakufa ndugu yangu,, ni bora kama unaitaji simu ununue hata Samsung ya bei rahisi hata J1ACE au aina yoyote ya Samsung au HTC, ME binafsi nakushauri iyo simu uza, , nenda kwa fundi simu unaemfahamu akutafutie mteja mkuu,, ME natumia SAMSUNG J1ACE huu mwaka wa pili ninayo NA wala haijasumbua chochote, NA nna HTC ina mwaka sasa ipo flesh pia
 
kinywanyuku

JF-Expert Member
Jul 13, 2015
3,139
2,000
Hizo simu haina ya itel na Techno vimeo sana,, hata ukinunua mpya haichukui muda inakufa ndugu yangu,, ni bora kama unaitaji simu ununue hata Samsung ya bei rahisi hata J1ACE au aina yoyote ya Samsung au HTC, ME binafsi nakushauri iyo simu uza, , nenda kwa fundi simu unaemfahamu akutafutie mteja mkuu,, ME natumia SAMSUNG J1ACE huu mwaka wa pili ninayo NA wala haijasumbua chochote, NA nna HTC ina mwaka sasa ipo flesh pia
Nashukuru mkuu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom