Watalaam, msaada tutani kwenye simu aina ya Tecno K9

Airmanula

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
3,741
5,226
Baada ya kui reset simu upya, ina demand ni scan QR CODE

Wataalam natokaje hapa na katika kudadisi dadisi naambiwa QR CODE ipo nyuma ya simu, ndani kwenye betri, ila jinsi simu ilivyo au ilivyotengenezwa kuifungua ni ngumu.
 
Huyo ni FRP, hutokea pale unapo hard reset (restore) simu kwa ku hold zile batani za pembeni. Solution;
Mpelekee mwenye utaalamu (wanajiita mafundi simu) watakutolea
 
Back
Top Bottom