Watakuwepo Diamond Jubilee Jumapili 04/12/2011 - Usikose fursa hii.

Bill

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
8,266
8,479
"Kwetu Pazuri Nimeshapakumbuka".

Ile kwaya ya Ambassador of Christ kutoka Rwanda Itakuwepo pale Diamond Jubillee Jumapili 04/12/2011 wakizundua Album yao mpya waliyoiandaa baada ya kupata ajali maeneo ya Tinde mkoani Shinyanga na kupoteza maisha ya waimbaji watatu.

Usikose Njoo usikie na utabarikiwa.
 
Kiingilio ni Tshs ngapi na show inaanza saa ngapi?!!
 
Back
Top Bottom