Zipuwawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 3,051
- 653
Wana JF ni muda wa zaidi ya mwaka mmoja sasa sijaonana na Mchumba wangu amabaye hata Engagement tulishafanya.Huku nilipo nipo kikazi na ninaamini kuwa nikirudi nitamkuta salama. Hata hivyo najiuliza kweli nitamkuta Salama au watu watakuwa wananichakachulia? Hofu ninayo sana kutokana na Maisha ya sasa je Nikirudi nifanyaje ili anagalau niweze kuwa na Imani nae?