Watakuwa hawajanichakachulia kweli mchumba wangu?

Zipuwawa

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
3,051
653
Wana JF ni muda wa zaidi ya mwaka mmoja sasa sijaonana na Mchumba wangu amabaye hata Engagement tulishafanya.Huku nilipo nipo kikazi na ninaamini kuwa nikirudi nitamkuta salama. Hata hivyo najiuliza kweli nitamkuta Salama au watu watakuwa wananichakachulia? Hofu ninayo sana kutokana na Maisha ya sasa je Nikirudi nifanyaje ili anagalau niweze kuwa na Imani nae?
 
Mie naona una zaidi ya kusema tuelewe vizuri, kwani mawasiliano ni mabaya hadi unawasiwasi? or kakuoyesha nini hauna imani nae?
 
mwende mkapime ngoma kwanza,
hayo mengine mnasameheana kwani mmeshakuwa watu wazima
 
mmmhhh bwana muamini bibie....
ukirudi pimeni ngoma...
kama wote mko wazima endeleeni na maisha..
hata kama alichakachuliwa na hana ngoma au mimba endeleni mbele kwa mbele...
 
Hapana mawasiliano ninayo poa tu sema lazima niwe na shaka
Mie naona una zaidi ya kusema tuelewe vizuri, kwani mawasiliano ni mabaya hadi unawasiwasi? or kakuoyesha nini hauna imani nae?
 
Kwahiyo hata kama alikuwa anakamuliwa nivumilie tu?
mmmhhh bwana muamini bibie....
ukirudi pimeni ngoma...
kama wote mko wazima endeleeni na maisha..
hata kama alichakachuliwa na hana ngoma au mimba endeleni mbele kwa mbele...
 
Mlete kwangu nimchunguze, then ntakupa ze feed ze back!!!
 
he hata wewe kama si kuwa nchi zenye msimamo mkali...ungeshachakachua siku nyiingi...
mbona una wivu hivyo,si inaoshwa tu...afu inatumiwa tena,lol:embarrassed:
 
kwa mawazo hayo bora uchonge mgomba uweke ndani
kama alivyoshauri mwanafa vinginevyo utapata ugonjwa wa
moyo na kuiacha dunia ghafla.

mambo ya kuchakachuliwa hata kama haupo mbali naye kama
ni mpenda kuchakachuliwa huwezi zuia. hivyo usikonde endelea
kumuamini tuu
 
Umekumbuka kuwa nipo sehemu ambayo sichakachui.......hapa nitakuwa nimefugwa tatu bila sasa sijui nikirudi nisawazashe kwanza ndio niendelee?
he hata wewe kama si kuwa nchi zenye msimamo mkali...ungeshachakachua siku nyiingi...
mbona una wivu hivyo,si inaoshwa tu...afu inatumiwa tena,lol:embarrassed:
 
Hapa unasema ukweli nashukuru sana ila nitaangalia!

sawa at the end of the day watu watakupa tu mawazo lakini ni juu yako kuyachambua...
inaelekea unampenda sana bibie ndo maana unawivu naye
hiyo safi...
 
kapimeni ngoma!

Nitafanya hivyo ila si nitakuwa nimefungwa tatu bila?
 
Nampenda kweli na nina Wivu kweli, haya ninayoyapata hapa nitachanganya na yangu pia!
sawa at the end of the day watu watakupa tu mawazo lakini ni juu yako kuyachambua...
inaelekea unampenda sana bibie ndo maana unawivu naye
hiyo safi...
 
Nampenda kweli na nina Wivu kweli, haya ninayoyapata hapa nitachanganya na yangu pia!
safi sana
kama anajua ni kiasi gani unampenda na unamjali..
kwa kweli hata usiwaze kama atachakachuliwa....
atakutunzia heshma yako..
 
Wewe nipe moyo tu ila nisipowaza wanachakachua sitakuwa nampenda!
safi sana
kama anajua ni kiasi gani unampenda na unamjali..
kwa kweli hata usiwaze kama atachakachuliwa....
atakutunzia heshma yako..
 
Wewe nipe moyo tu ila nisipowaza wanachakachua sitakuwa nampenda!

si lazima uwaze vitu vibaya kuonyesha unampenda mtu..
saa nyingine unajipa pressure bure...
sasa wewe hapa humwamini nani??
bibie or other people???
 
Back
Top Bottom