Si mpaka atiwe hatiani. Yaani mtu kaiba labda tuseme bilioni thelathini na kazificha nje ya nchi, halafu hakimu na mwendesha mashitaka dhidi yake ana kamshahara ambako baada ya makato ni less than 2 milion. Jaji wa makahakama kuu baada ya makato hafiki 5milioni! Ni rahisi tu, huyo fisadi atatenga robo tu ya hiyo hela aliyoiba na kuuvuruga mfumo wa mahakama mwishowe ataachiwa.
Kutunga sheria ni jambo moja na kusimamia utekelezaji ni jambo jingine. La muhimu zaidi ni utekelezaji.
Sheria zinazozuia wizi zipo nyingi na haziruhusu wizi kwenye gesi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.