Ni kweli, na hizo ndizo hasa zinaharibu na kuua vijanaYaani kila mara watu tunapozungumzia madawa ya kulevya wao wanadiffuse sitiation na kitumia nguvu nyingi kuingiza MIRUNGI na BANGI
TAIFA linaangamia kwa COCAINE na HEROINE pamoja na synthetic drugs nyingine
Ilinisikitisha sana kwenye hotuba zake kamishna mkuu SIANGA alitumia muda mwingi sana sana sanaaa kuongelea MIRUNGI,
Tuwe serious kabisa tena mirungi na bangi naamini ndiyo inayopunguza idadi ya MATEJA wa UNGA na WALEVI wa POMBE
Tuwe serious kabisa tuache kupoteza muda na rasilimali nyingi kupambana na hii mimea ya asili mi nafikiri busara kubwa sasa itumike kwenye COCAINA, HEROINE na SYNTHETIC DRUGSS NYINGINEE