Watakaokubalika na vijana watashinda uchaguzi mkuu! Wazee wenye miaka 61 na kuendelea, ni asilimia 3 tu ya watanzania wote!

Ha
Haki sawa kaifate mbinguni,
Wewe mwrnzako analipwa milioni 10, na garo anapewa, wakati mwingine analipwa laki 4 na hana usafiri, sasa hapo kuna haki?
Hilo jibu la “haki mbinguni”, aliwahi kunijibu ndugu yangu aliyenirusha pesa!😳
 
Mlihamasishana msiende kuboresha taarifa zenu kwenye daftari la mpiga kura sasa hizo mtapigia makaratasi?
Mkuu usikute hii ndo sababu mtakayoitumia! Maana mtaingiza nchi kubaya.
 
Ha
Haki sawa kaifate mbinguni,
Wewe mwrnzako analipwa milioni 10, na garo anapewa, wakati mwingine analipwa laki 4 na hana usafiri, sasa hapo kuna haki?
Mimi naamini duniani Hamna haki kwa sababu ya waliojitwalia mamlaka.
 
Vijana wote wanaozaliwa zama hizi Karibu wote ni upinzani tu huku wazee wakipungua
Vijana wengi wa saivi wanalelewa na influencers au celebrities hao kina diamond wanaowaimbisha Magufuli babalao?
 
Hata wale wazee si wana issue na mafao yao? ccm hakuna kitu zaidi ya tume na polisi mkuu.
 
Vijana wengi wa saivi wanalelewa na influencers au celebrities hao kina diamond wanaowaimbisha Magufuli babalao?
Ngoja tuone kama wote ni wajinga kiasi hicho. Vijana wa Arusha mfano hawafagilii wabana pua.
 
Hahahaha kaangalie video millardayo DC wa Arusha akienda na tune ya wananchi wake, DC alikua anarap na amefanikiwa kuwateka kabisa vijana wa Arusha, kaangalie Arusha festival
 
Mhn! Nimeona hata kule Muheza kwa yule Binamu. Ngoja tuone, kama kweli ni wajinga kama ccm aanavyotaka tuamini.
 
Back
Top Bottom