watakaofanya sex kabla ya ndoa wafungwe jela | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

watakaofanya sex kabla ya ndoa wafungwe jela

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by royna, Apr 14, 2012.

 1. r

  royna JF-Expert Member

  #1
  Apr 14, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 481
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Oni langu kwenye katiba mpya,watakaofanya tendo la ndoa kabla ya ndoa wahukumiwe kifungo!
   
 2. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #2
  Apr 14, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  ...tehetehe. Na watakao balehe/kuvunja ungo kabla ya ndoa wahukumiwe kifungo.
   
 3. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #3
  Apr 14, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Hapo ndiyo umetumia ubongo wako wote na wa akiba kuchangia hoja katika mabadiliko ya katiba mpya?? Tukiwa na 20% ya watanzania wenye mawazo kama huyu, tutakuwa hatuhitaji kabisa katiba mpya!
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Apr 14, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  wasisahau na kuweka kipengele cha magereza yapanuliwe. Kila mkoa utoe wilaya zake 3 ziwe gereza la wazi.
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  Apr 14, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Wanyongwe hadharani, tena miguu yote mitatu.

   
 6. Mchochezi

  Mchochezi JF-Expert Member

  #6
  Apr 14, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 6,952
  Likes Received: 1,155
  Trophy Points: 280
  ngoja kwanza nikaoge nikija ntachangia
   
 7. M

  Murrah Senior Member

  #7
  Apr 14, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 191
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Stupid law
   
 8. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #8
  Apr 14, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Na wale ambao hawataolewa kamwe?

  Itabidi Watafute vipimio vya ilikukamata waliofanya kabla ya ndoa wakipita njiani wagundulike kisayansi.
   
 9. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #9
  Apr 14, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  nani na kipimo gani kitumike kuwapima kama wamefanya ngono?
   
 10. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #10
  Apr 14, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Tape measure, vanier caliper, na litmus pepa.

   
 11. Ambitious

  Ambitious JF-Expert Member

  #11
  Apr 14, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Mimi nashauri tuanze kwanza na kupanua magereza yetu na kuongeza mengine ya kutosha kwani nina uhakika kwa muda wa wiki moja wafungwa watakuwa wameongezeka maradufu.
   
 12. Ambitious

  Ambitious JF-Expert Member

  #12
  Apr 14, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Kabisa Kongosho unasahau kipima pembe??
   
 13. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #13
  Apr 14, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,224
  Trophy Points: 280
  mmenichosha na lithread lenu.........
   
 14. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #14
  Apr 14, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  kiima pembe hakikatoboa maudhui ya muumba??

  Labda tutumie test tube.

   
 15. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #15
  Apr 14, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Kama hujanywa chang'aa huwezi changia hapa.

  Chukua kikombe, chota kwenye hiyo ndoo ya plastik.

   
 16. k

  kisukari JF-Expert Member

  #16
  Apr 14, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,754
  Likes Received: 1,041
  Trophy Points: 280
  na watakaokuwa na nyumba ndogo,wafungwe vile vile
   
 17. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #17
  Apr 14, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,224
  Trophy Points: 280
  sio chang'aa peke yake,inabidi nitengeneze mchanganyiko wa chang'aa,gongo na pingu ndo nipate nguvu za kuchangia,tena nguvu za ke na me!


   
 18. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #18
  Apr 14, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,224
  Trophy Points: 280
  hao wafungwe kifungo cha maisha,
  wenye nyumba ndogo waondolewe nguvu za kunanilii
   
 19. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #19
  Apr 14, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Utaziona batabi kweli za laptop?

  Angalia usoje ukabonyeza batani za jirani yako.

   
 20. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #20
  Apr 14, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,224
  Trophy Points: 280
  Nitamulika na tochi hadi nizione.....maana oithread hili
  si mchezo

   
Loading...