baiser
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 1,456
- 2,179
Ndugu mwana jf pamoja na maisha yote tunayoishi na kufurahia tutambue kwamba hatutaishi milele kifo hakichagui umri bali iman kuwa mzazi utakufa au kuzeeka mapema kabla ya wanao
Msingi wa uzi huu ni wazazi tujitahidi kuwataftia watoto connections ,tafuta pesa peleka mtoto shule nzuri atakutana na wenzake waliotoka familia nzuri na atapata connections
Kila upatapo kukutana na watu wa jamii fulan either wafanyabiashara ,wafanyakazi wa serikali na binafsi hakikisha wanao wanapata connections nao
Kila la kheri wazaz katika kuwatafutia connections vwatoto wenu.