Wataalum wa mitandao nitwwzaje kuona status za mtu aliye nihide nisione

Option pekee ni kutafuta simu ya mtu ambaye unahisi anaziona status zake na wewe ndo uzione kupitia simu ya mtu huyo otherwise No! Maana status unavyoupload ni kama unaituma kwa selected contacts, sasa kama haijatumwa kakwo huwezi iona, mfano huwezi pata text ya group fulani kama wewe siyo member wa group lile.
 
Delete whatsapp acc kisha jiunge upya

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Back
Top Bottom