Wadau, laptop yangu inazingua balaa! In short, kama unataka kuiwasha, huwa inatoa mlio wa kugonga (beeping noice)... hapo ni lazima niitekenye sana tu ndipo itaweza kuwaka... baada ya kufanya utafiti, nikagundua ni very common problem kwa Dell Laptop...
Not sure kwa brand zingine! So, kama kuna mtu ambae amewahi kukutana na tatizo kama hilo na akaweza ku-solve, please, help me namna gani uli-solve tatizo!
Your support will be highly appreciated!!