Wataalamu wa X-ray tusaidieni hii imekaaje?

PROF NDUMILAKUWILI

JF-Expert Member
Mar 25, 2016
10,521
13,110
f20b28347dccafd44da1a832957cb5ac.jpg
 
Hiyo itakuwa picha duka coz sehemu huyo nyoka alipo kaa ni kwenye moyo.halafu huyo nyoka kama kweli kaingia hapo lazima tungeona mifupa yake na ingeonekana kwa weupe kwa sababu mifupa siku zote kwenye x-ray lazima ionekane white.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom