Wataalamu wa Ubuntu/ Linux msaada wenu pls

Hazchem plate

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
11,045
15,378
Habarini wakuu, nimebadirisha OS kwenye PC yangu toka win 10 kwenda Ubuntu 16.04
Shida ni kwamba sioni Disk drives zangu za NTFS
So naomba msaada

Pia nahitahi ku update drivers pia. Msaada
 
Hiyo ubuntu ipo pekee yake? na ulikuwa unataka drivers gani?
 
Habarini wakuu, nimebadirisha OS kwenye PC yangu toka win 10 kwenda Ubuntu 16.04
Shida ni kwamba sioni Disk drives zangu za NTFS
So naomba msaada

Pia nahitahi ku update drivers pia. Msaada
Kwanz ubuntu inatumia ext* file system..! Kuhus disk, Open terminal and type this command lsblk . Utawez kuon list ya disk. Hii command ni kam ya "list disk" ukiw una run diskpart utility kweny windows. Hope it helps kidg.
 
Back
Top Bottom