Wataalamu wa tv za Sony Trintron msaada wenu

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
1,002
274
Tafadhali naomba msaada kwa aliyekwishakumbwa na hili tatizo kwenye tv yake aina hii ya sony inch 29 .Tatizo lake lipo wakati wa kuiwasha ukiiwasha inaanza kuwasha taa nyekundu na kijani kwa kujirudiarudia kwa dakika tano hadi kumi ndio inawaka sasa leo imenigomea kabisa inafanya kama awali hatimaye inawasha taa nyekundu tu.Tafadhali nisaidieni kwa anayefahamu utatuzi wa tatizo hilo.
 
Nahisi umeme mdodo, ilakamuone fundi kwautaalamu zaidi. Yangu bado ipo poa tangu 2005, na nitaingianayo kwenye mambo ya Digital.
 
Nimekuwa fundi wa Sony tv kwa miaka mingi, hiyo inaashiria tatizo fulani na kwa kufanya hivyo ni kuzuia uharibifu mkubwa unaoweza kutokea endapo ingewaka moja kwa moja yaani protection mechanism. Kwa mtumiaji ni vigumu kutatua tatizo hilo nivyema uonane na fundi aliyetulia akusaidie kujua exactly ni tatizo gani badala ya kubahatisha na kuiharibu kabisa.
 
TV yangu Risisngi inatatizo la Kutowaka kabisa. Inaonesha Indicator ya Red Kwenye Power status tatizo ni nini?

Muda mwingine ikikaa kwenye umeme kwa muda flani inawaka sasa sijui tatizo ni nini?
Msaada wenu tafadhali
 
ni tv ya Chogo? kama ndio basi kuna filter (Capacitor) ambayo ipo kwenye upande wa HOT wa power supply , capacitor hiyo ikifa basi tv inaweza kuwa inawaka baada ya nusu saa au lisaa.

Back
Top Bottom