KIBURUDISHO
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 1,002
- 274
Tafadhali naomba msaada kwa aliyekwishakumbwa na hili tatizo kwenye tv yake aina hii ya sony inch 29 .Tatizo lake lipo wakati wa kuiwasha ukiiwasha inaanza kuwasha taa nyekundu na kijani kwa kujirudiarudia kwa dakika tano hadi kumi ndio inawaka sasa leo imenigomea kabisa inafanya kama awali hatimaye inawasha taa nyekundu tu.Tafadhali nisaidieni kwa anayefahamu utatuzi wa tatizo hilo.