jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,951
- 29,532
Tume ya Rais kuhusu makinikia imenifumbua na kunikumbusha jambo la msingi ambalo kwa miaka kadhaa nimekuwa nikilitilia mashaka.
Ni mara nyingi tunasikia kuwa bidhaa zetu hazina ubora na haziwezi kushindana na bidhaa za ulaya au marekani..
yaani hakuna bidhaa utakayoambiwa ina ubora wa kwenda kuuzwa ulaya au marekani.
Naamini wanaotoa viwango vya ubora ukiacha Raia wa nchi nyingine wengi wao ni watanzania ambao wanatumia elimu tuliyowapatia vizuri lakini kwa manufaa ya watu wa nje...yaani wanakula rushwa mithili ya wale jamaa wa TMAA na kupika data.
Hili ni eneo nyeti na ikiwezekana kiundwe kikosi kazi cha kulifuatilia na kuja na mapendekezo ya kukabiliana nalo.
Hebu fikiria baadhi ya bidhaa kama vile korosho na karanga ...miaka yote utaambiwa ina sumu Kuvu...yaani hata mkulima mkubwa akiilima kwa viwango mwisho wa siku itapewa jina baya tu.
Hebu fikiria asali kutoka tabora kila siku utaambiwa ina vimelea vya tumbaku....
Hizi sababu hupelekea bidhaa za kawaida kabisa kuagizwa kutoka nje badala ya hapa nchini.