Wataalamu wa program za muziki naombeni msaada wenu

habari za majukumu ndugu zangu, naombeni kwa wajuzi wa program za kutengeneza mziki, kuna hili pambio limeimbwa na solly mahlangu wa S.A linaitwa obligado, nalipenda sana beat lake lakini sijui namna ya kutoa sauti na kubakiwa na beat mp3. Naombeni mnisaidie please. natanguliza shukrani kwa yeyote atakaye nisaidia Mungu ambariki. Ahsanteni.

Nice music from S.A.
 
Iglesias please nakuomba unisaidie kama inawezekana kwa njia ya email au pm.
 
Msaada ndugu zangu kwa anayejuwa browsers. Nzuri za kudownload video za music na moves zakibongo anisaidie nawatakia Kazi njema wadau Wa jf.
 
Back
Top Bottom