Wataalamu wa Physics.

Jindal Singh

JF-Expert Member
Sep 9, 2015
1,857
1,538
Salaam jf.

Wanasanya wanasema maji ya baridi yana joto (latent heat) sasa hilo joto hupimwa na kifaa gani na VP upimaji wake?
 
Na mimi naomba kuuluza. Nini kitatokea iwapo waya wenye umeme utaungaishwa kwenye maji mengi hasa bwawa, ziwa, na bahari? Je athari yake, yaweza linganushwa na mtu aliyekanyaga waya wa umeme ulio majini au aliyekanyaga maji hayo sakafuni?

ce0c78bba2723d9fafa2315ab78d4119.jpg
 
Back
Top Bottom