Wataalamu wa Pc(Chief mkwawa msaada

Quan Lup

JF-Expert Member
Sep 26, 2016
640
751
Habari wana jf

wakuu kuna pc jamaa kaniletea hapa ananiunizia laki 4 pc yenyewe ni
accer E1-510
Processor Intel(R)Pentium (R)CPU N3520@ 2.16GHZ(4cpu) 2.2GHz
Ram 4GB

processor yake ni Quad Core
chief mkwawa na wengine naombeni msaada je hii Pc inaweza kufanya multasking, na Kuplay games video heavy?
 
Kwa shughuli za kawaida kama kusoma, shughuli za kiofisi, movies, music, games ndogondogo itaweza kukitimizia. Ingawa kwa hiyo bei bora utafute hata mtumba wa i3 au i5 kama mdau alivyosema.
 
Habari wana jf

wakuu kuna pc jamaa kaniletea hapa ananiunizia laki 4 pc yenyewe ni
accer E1-510
Processor Intel(R)Pentium (R)CPU N3520@ 2.16GHZ(4cpu) 2.2GHz
Ram 4GB

processor yake ni Quad Core
chief mkwawa na wengine naombeni msaada je hii Pc inaweza kufanya multasking, na Kuplay games video heavy?
Kaa nayo mbali mkuu, hizo cpu zinazoanziwa na N ni vimeo sana, even core 2 duo za mwaka 2009 zina nguvu zaidi.

Hizo ni cpu zinazokula umeme kidogo sana zimetengenezwa kwa matumizi mepesi na ukaaji chaji sana.
 
Daaah shainunua mkuu coz kuna Games inaitwa Call of duty blacks ops III nimeliweka na likacheza vizuri bila kustack, na ina peform vizuri sana application zinafunguka faster kama photoshop,bluestack,premiere, after effect n.k
 
Unachezea na graphic settings low au?
Screenshot_2019-05-15-01-11-19~2.jpeg
 
Kaa nayo mbali mkuu, hizo cpu zinazoanziwa na N ni vimeo sana, even core 2 duo za mwaka 2009 zina nguvu zaidi.

Hizo ni cpu zinazokula umeme kidogo sana zimetengenezwa kwa matumizi mepesi na ukaaji chaji sana.
Chief nisaidie hapa asaivi
Nimenunua laptop

Core i 5 5200U 2.2 GHz
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom