Wataalamu wa Paypal nina 500USD kama Balance, msaada

Kasinja jr

JF-Expert Member
Aug 4, 2017
981
1,000
Je naweza Kutoaje hela kwenye PayPal?
Nina 500USD naomba kuelekezwa jinsi ya kuitoa
 
Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
3,194
2,000
Je naweza Kutoaje hela kwenye PayPal?
Nina 500USD naomba kuelekezwa jinsi ya kuitoa
Kuna njia tatu,

njia ya kwanza ni kuitoa kupitia account ya paypal kenya iliyoungwa kwa safaricom kama kuna mtu unamuamini ana account iliyoungwa safaricom unaweza kuituma kwake akaitoa ama kama wewe mwenye unaweza tafuta line ya safaricom, tengeneza account ya paypal yenye jina sawa na line ya usajili ya hiyo safaricom, halafu itume humo kisha itoe kupita safaricom mpesa halafu itume kwenye line yako ya mpesa.

Njia ya pili ni kupitia kwa platnum writers ila utapoteza about 30% ya hiyo pesa kwa kutumia njia hiyo.

Njia ya tatu tengeneza fake paypal account ya U.K ama America ama canada, kisha ingia Xoom, signup kwa kutumia hiyo fake account ambapo utakuwa umetuma pesa halafu chagua kutuma pesa kuja tanzania chagua mtandao wekana namba yako ya simu itatuma pesa kutoka paypal account kuja mtandao husika.
Hawa wazee wa serikalini wanatutesa sana ila tutaelewana, acha kodi wale wengine japo nasi tunateseka.
 
Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
3,194
2,000
Kiasi kikubwa sh. ngapi?
Mfano ukitumia local bitcoin unaweza jikuta unapoteza hata lak na ushee ukiwa una haraka. Halafu pia mitandao mingi ya kuuza cryptocurrences haisupport paypal so muda mwingine ni kusoma reviews za muuzaji mfanya kwa kuaminiana moja amtumie mwezake bitcoin mwingine hamuhamishie paypal.
 
42774277

JF-Expert Member
Aug 24, 2018
3,059
2,000
Hayo unayoyasema hapa yatampata mtu ambaye haijui kabisa bitcoin.

Mfano Local bitcoin, Unapotaka kubuy bitcoins unaangalia ni seller gani mwenye bitcoin na anaaccept paypal. Kila kitu huwa kinawekwa wazi pale. Atakupa details zake utamtumia hela paypal atakupa bitcoins zako. Kikubwa tu uchague seller mwenye review nzuri.

Kwa hizo USD 500 zake anaweza kuja kupokea somewhere in between 1,050,000 mpaka 1,100,000. Kulingana tu na yeye atakavyocheza na knowledge ya Buy low na sell high. Atapata pesa ndogo kama akishindwa kucheza na hiyo knowledge.

Nilishawahi hamisha hela toka Skrill na Neteller kuja mpesa Kenya halafu kuja Mpesa Tanzania. Niliapa sitakuja kurudia tena na ndio ulikuwa mwisho wangu wa kutumia Laini ya safaricom.

Nowadays transaction zangu zote za mtandao natumia Bitcoin. Na ninapata exchange rate nzuri tu.
 
andoza

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
1,434

Mkuu,najua kuna watu local ambao wanatumia paypal kufanya miamala nafikiri ungeanza na hao maana huwa ninatumia njia hio pia.YAANI unampa mtu PAYPAL amount ye anakupa TZS Cash.Nafikir pia ni njia inayowezekana.
 
Uaminifu. Ndio changamoto ya hiyo njia.
 
ashomile

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
2,061
2,000
Kuna mkenya ni mwaminifu unaweza kuanza kuwithdraw kwa majaribio ila ana gharama sana.
 
Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
3,194
2,000
Kuna mkenya ni mwaminifu unaweza kuanza kuwithdraw kwa majaribio ila ana gharama sana.
Unamsema platnumwriters? Ile ni kamuni mzee ina shughulika na mambo mengi na wako kweye game wayback toka 2013.
 
Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
3,194
2,000
Duuh basi sasa aitumie kununulia vitu online itapendeza zaidi.
Hapana anaweza kuitoa mbona sisi tunatoa kila siku tu via safaricom, au xoom, kwa huyo mkenya nimechi akitoa atapata milion moja na elfu arobain badala ya 1160000
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom