Wataalamu wa maumbo maana kujeni hapa fasta

incredible terminator

JF-Expert Member
Aug 1, 2016
2,229
3,525
Hii avatari yangu ni mimi huyo kabisa na ndio maana ninaitwa terminator, ukinichungulia vzuri utaona kama naugulia maumivu ya kukaliwa jipu, lakini pia wale wajuzi wa lugha za ishara wanaona kama nilikuwa najaribu kutafta radha ya kitu flani hiviii, kinachonipa mchahanganyiko chumvi sio chumvi, sukari kwa mbali, mara kwa mbaali inakuja radha ya chuma cha kutu,
Kwa upande flani ivi kuna furaha mchuchumio yaani hii ni ile hali ya kuwa na furaha ukatamani kucheka katika mambo serious ukajistukia ukaamua kuvunga, tena ukichunguza unaona kama nimekanyaga kaa la moto katika hali ambayo mguu ulikuwa katika ganzi na hapo ndio nasikilizia matokeo ya tukio lililofanyika sekunde kadhaa nyuma,

Kwa upande mwingine unaona kama ni jicho la warning kwa mtoto anaetaka kunichafuria heshima ugenini yaani ni shida

ngoja niwaache wataalamu wa mambo watoe majibu wao wameona nini baadae nitaleta hitimisho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maonevu%20haya%20yanajenga%20visasi.jpg
 
Kuna mtu alituambia bqngi ni mboga. Tukchuma majani na mibangi mikavu tukatumia kama kuni na kuwashia majani ya bangi makavu.
Hadi saa hii nikiangalia avatar yako niko kwenye maji ya Uhai .
Arusi inaendelea lkn hawanirudishia meno.
Utakuwa ndiye uliyepuliza moto
 
Kipindi kile kuongea manen yasiyo na kchwa wala miguu na umri hauruhus tulikuw tunaitaga WEHU sijui sahiv wanaitaje
 
Back
Top Bottom