Wataalamu wa maujanja tusaidie!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,555
8,552
Makey ya Kerspersky tunaaomba vimeo vyetu vitazima na mtakuwa hamtuoni jf!!please do ze needfull!!
 
ebana kaspersky huwa ni mizinguo sana kutumia KEYS za magumashi koz huwa wako makini sana, lakini sio ishu kama vp jaribu hizi hapa afu utaniambia imekuaje, huenda nikakupa maujanja tofauti. pamoja
Makey ya Kerspersky tunaaomba vimeo vyetu vitazima na mtakuwa hamtuoni jf!!please do ze needfull!!
 
Attachments

  • Kaspersky.internet.security.2011.(29th april).working.keys-ECLiPSE.HD.zip
    13.2 KB · Views: 25
ebana kaspersky huwa ni mizinguo sana kutumia KEYS za magumashi koz huwa wako makini sana, lakini sio ishu kama vp jaribu hizi hapa afu utaniambia imekuaje, huenda nikakupa maujanja tofauti. pamoja
Makey ya Kerspersky tunaaomba vimeo vyetu vitazima na mtakuwa hamtuoni jf!!please do ze needfull!!
 
Uninstall Kaspersky install MSE bure na bomba hakuna haja ya kujitesa.
Virus, Spyware & Malware Protection | Microsoft Security Essentials

Yaah ni nzuri na buree lakini hii bwana tatizo ni kuwa haina option ya kuzima updates ambayo kwa sie ambao net nya vibundle vyetu vidogo kwanza

vitaliwa.. na pia kama hauna system yenye speed au uwezo mkubwa ull find ur self stuck for 5 - 10 minutes every day upon automatically finding and

updating updates... kwangu hii ilikuwa kero sana... bora download eset smart securty 5 (hii version mpya) kwanza ni mojawapo ya the fastest antivirus

software.. na pia na kula space ndogo sana..and it works very lightly but very efficient and secure na ina kamata real threats sio kama mse "patch" tu

anamdelete plus key zake zinapatikana daily free kabisa mie na key ya mpaka 2016.. kwangu sasa nimetumia software za antivirus kibao but hii ndo n

imeona nzuri kuliko zote.
 
MSE kwenye experience yangu iko very light ina option za kuset CPU kiasi gani itumike na iscan pale tu ambapo PC haifanyi kitu, kuzima updates unaweza kwa kuiweka Windows Update service kuwa manual.

Administrative tools->services.
Windows Update service,
double click->properties ,
weka manual.

Ila ukizima updates ya antivirus unapoteza protection kwa kiasi kikubwa.
 
Niliwahi kuweka post siku za nyuma, ya namna ya kuwazingua kaspersky kwenye jukwaa hili hili. Tafuta.
 
Avast home or Avira home or M$ essentials or AVG. I vote for any of the three, not sure of number 4. Kama unatumia bundle ya kubabaisha tumia comodo firewall na block all outbound connection na uanze kuruhusu zile unataka at that time. Pia unaweza kuwa na different config templates unazobadili kulingana na unavyotaka. Yaani unakuwa na control ya computer connections 100%
 
Mmmh, hapa kama OS ni yakuchakachua haitaleta shida mkuu...
<br />
<br />
yaani wakupe antivirus bure na OS uwaibie! Wamelogwa? Ukishaona OS yako ni kuchakachua usipoteze muda wako ku download MSE. Hutaweza ku install
 
itaweza sana kuinstall. Mpaka sasa hamna windows version yoyote isiyo wezekana kuichakachua kwa kui activate windows. Yangu nilivo taka kuweka mse nlpatwa na hii kitu ikanichukua half and hour kutafuta hack ya kuiactive xp kuwa genuine na ikakubal kuinstall. Vile vile ipo hack ya mse ya kuicheat isi detect kama windows yko is not geniune. Inshort nothin is impossible!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom