WATAALAMU WA MASUALA YA KIBENKI NA SHERIA ZA KIBENKI


Geechie

Geechie

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2015
Messages
962
Likes
713
Points
180
Geechie

Geechie

JF-Expert Member
Joined Oct 26, 2015
962 713 180
Napenda kupata mchango WA mawazo kutoka kwa wataalamu ambao wanahusika na masuala ya kibenki
1.Je taasisi ya kibenki inaruhusiwa kufanya makato kwenye Account ya mteja bila kumpa taarifa.
2.Iwapo bank iligundua Kuna muamala ambao ulifanyika miezi kadhaa ya nyuma ni haki kufanya maamuzi bila kumshirikisha mmiliki WA account?
3. Nini usalama na haki za mteja hapa maadili yamekaaje?
4. Je bank inaweza kuwa inastatement zinazotofautiana,mfano ukienda tawi la kariakoo ikuonyeshe muamala uko hv ukitoka hapo ukaenda tawi la mlimani City ikakuonyesha miamala tofauti?
Napenda kupata mawazo ya wataalamu wa masuala ya kibenki.
 

Forum statistics

Threads 1,274,530
Members 490,721
Posts 30,515,424