Mwanga Lutila
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 3,948
- 12,899
Watu wa physics mnisaidie
Masafa ya mbali,kati na karibu
Ukitaka kushika Magic FM kwenye radio za gari basi lazima kuna kifaa wanakiweka mafundi kukuwezesha kukamata maana radio za gari zinaanza 7x mpaka 90.Naona frequency yakutumika ni namna tu nchi ilivyoamua sio kwamba ipo fixed kwamba masafa ni hayo tu........sema nchi nyingi zinapenda kua na standard moja ili kuepusha usumbufu kwa watumiaji na watengenezaji wa vifaa vya kurusha na kupokea hayo masafaView attachment 2026478
Hizo redio unakuta zilitengenezwa kwa ajili ya masafa ya nchi fulani sasa unakuta hio redio imekuja huku ambako hayo masafa hayatumiki ndo maana inakua lazima uwe na hiko kifaa........tunanunua sana magari ya japan ndo maana hata redio zake zinakuja zikiwa na masafa ya fm ya JapanUkitaka kushika Magic FM kwenye radio za gari basi lazima kuna kifaa wanakiweka mafundi kukuwezesha kukamata maana radio za gari zinaanza 7x mpaka 90.
Frequency spectrum, inatoa range ya electromagnetic waves,Kwa ajili ya matumizi mbalimbali ya mawasiliano,ili kuzuia mwingiliano WA mawasiliano.
Sure,Ila frequency na frequency spectrum ni vitu viwili tofauti.Taa(Bulb) inawaka na kuzima 50 times per second.
duhTaa(Bulb) inawaka na kuzima 50 times per second.
100 times a sec, kwa 50Hz AC systemTaa(Bulb) inawaka na kuzima 50 times per second.