jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,128
- 8,648
nenda saba sabaHivi Moro mjini dojo zipo maeneo gani?
nenda saba sabaHivi Moro mjini dojo zipo maeneo gani?
Hivi Moro mjini dojo zipo maeneo gani?
IsraelKrav maga ... Embu chimbuko lake wapi
Mbwembwe kivipiIngawa mimi najifunza Wing Chung/Jeet Kune Do.ila nakushauri jifunze kick boxing,achana na michezo mingine inambwembwe nyingi.
'Mixied Martial Arts', hiyo ndio babalao hapo boxer,kickboxer hawatoboi kwa mtu wa MMA, mtafute mtu anaitwa Israel Adesanya YouTube utapata mfanoUmenichekesha sana mzee
Sasa apo swali lako sidhani kama kuna mchezo wa ivo lzm uwe ngangali ili ukiattack na kujidefend ziwe effective
Afu MMA ndo naiskia leo
Nakubali mkuu'Mixied Martial Arts', hiyo ndio babalao hapo boxer,kickboxer hawatoboi kwa mtu wa MMA, mtafute mtu anaitwa Israel Adesanya YouTube utapata mfano
SUA Main Campus kama unaelekea jengo la utawala upande wa kulia kabla karibu na uwanja wa Basketball
Tai chi naskia ni ya wadada sana