Wataalamu wa kudukua/ ku-hack simu za wenza wetu tukutane hapa kueleza athari tulizozipata baada ya kujifanya wajanja!

Maana ya kuuleta huu Uzi ni kwamba mtu ambae hata aufanyie kaz bas anasoma anapita zake. Ila kuna ambao wanashida na wanahtaji kujua ni app ya aina gani na unadukuaje sasa wengi wanaozijua wanazunguka tu hata hawatoi majibu sahihi!
Kama app unaijua we taja kila mtu atatumia kwa risk yake.
Au kama kuitaja jina hiyo app hadi mtu alipie bas muwe wazi. Emu mtusaidie jaman watu tunadanganywa sana na hawa viumbe we unajidai upo pekeako kumbe mpo hata zaidi ya watano.

Hivi kweli mtu anakuja hapa anasema hii app tumia kuahack simu za wake zenu na wapenzi wenu hadharani! hakika kati ya mahusiano 10 basi moja tu ndio itahimili! Hiyo dhambi ya kutenganisha ndoa za watu nani anataka! pia huu uzi ni kuleta mrejesho tuliowahi kuhack na yaliyotukuta! si wa kufundishana! kama ilikua ya kufundishana basi ungekua jukwaa la teknohama
 
Noted mkuu umeeleweka.
 
Asanteni sana wadukuzi mimi sijapata athari baada ya kumdukua huyu dem wangu, sawa ndani ya siku tatu toka nimdukue nikawa nimeshaachananae
(Hii ni faida maana nimeachana na malaya mkuu) hadi nikakumbuka ile nyimbo unaaaa,,, "unahepa mshamba unaoa malaya" asante udukuzi umeniepusha yangenikuta.

Nashukuru imenisaidia kujua kwenye list yake tulikua wanaume nane😁😁😂😂
Nashukuru udukuzi umenisaidia sijaendelea kupoteza nae muda maana nlikua naona napendwa kumbe ndo nadangwa😁😁😂😂(mwakani kujenga itakuwa rahisi sana)
Kweli mapenzi upofu maana utaona kama unapanda kumbe ndo unavunwa.

Mwisho nimegundua nina moyo maana sikuonyesha reaction yoyote nlivokua nae huku najua kila kitu na nikatafuna papuchi mara ya mwisho huku najua yote hayo (nastahili pongezi kwa huu moyo)
mpaka alivonambia nimemuacha bila sababu mimi nikamtumia tu shots za sikumbili nyuma alivokua anachat nao wote kumbuka tulikua nane.
 
Asanteni sana wadukuzi mimi sijapata athari baada ya kumdukua huyu dem wangu, sawa ndani ya siku tatu toka nimdukue nikawa nimeshaachananae
(Hii ni faida maana nimeachana na malaya mkuu) hadi nikakumbuka ile nyimbo unaaaa,,, "unahepa mshamba unaoa malaya" asante udukuzi umeniepusha yangenikuta.

Nashukuru imenisaidia kujua kwenye list yake tulikua wanaume nane
Nashukuru udukuzi umenisaidia sijaendelea kupoteza nae muda maana nlikua naona napendwa kumbe ndo nadangwa(mwakani kujenga itakuwa rahisi sana)

Broo nakuja PM unielekeze kk nateseka ukuu
 
App ninayoifahamu mimi ni 100% buree app yenyewe inaitwa "Mobile tracker" inaingizwa kwenye simu ya muhusika (victim) kisha inachukua taarifa zake zoote nakukuletea wewe.

Kwamaelezo zaidi ya jinsi yakuitumia app hii karibu inbox.
 
Kudukua ni simple,tena kwa free software...simu yoyote haichomoki! 5MB tu software size yake! Unasikiliza call recordings,sms,kama simu yake ipo rooted hadi wasap insta na snapchat hadi email zake utasoma.

Utawesa kuangalia screen yake na ukajua anafanya nini au anachat nini au anaangalia nn kwenye simu yake kwa wakati huo,utaweza kutumia camera ya simu yake na kuona yupo wapi na anafanya nn wakati huo unapomcheck!

SIMPLE
Duuh technology inaenda kasi sana aisee
 
Huyu jamaa ukimfuata PM anakupa tena namba eti muwasiliane
Ndio na kama hutaki unapotezea tu! watu ni wengi wanakuja inbox, wengine unampa hiyo app maswali mengi jinsi ya kuinstal na kuitumia, na ukweli jina la app sio ishu, ishu kujua kuitumia na kuiset kwenye simu husika mpaka ipotee ili isionekane, na uanze kuona kila kitu, mpaka kuchukua video alipo, sasa watu 10 na zaidi kwa siku unaanza kuchati nao pm, hapo mda + mb natumia, kila ukiingia jf unakutana na PM zaidi ya 10, namba nakupa ukitaka piga nakupa maelekezo mpaka mwisho, ili tusisumbuane! ukikwama unarudi..
 
Hakuna Hiyo we Toa jina LA app , maana waliozitengeneza huwa wanatoa guideline nA demo jinsi inavyofanya kazi. Afu sio kila mtu ni kilaza Toa jina LA app tunajifunza wenyewe matumizi.

Ova .haya mambo ya namba hamchelewi kuomba PESA wakati app umesema ni free.
 
Mkuu jipe jina mwenyewe! ww ni kilala au sio kilaza!
Kilaza anaweza kupewa majibu kwenye mtihani na akafeli vilevile
Sasa kwenye huu uzi umepewa majibu na jina la hiyo app kuna comment imetaja jina la app tena comment yako ipo karibu kabisa na comment ilitotaja jina la app bado unasema si kila mtu ni kilaza!
 
Akasemaje?
Asanteni sana wadukuzi mimi sijapata athari baada ya kumdukua huyu dem wangu, sawa ndani ya siku tatu toka nimdukue nikawa nimeshaachananae
(Hii ni faida maana nimeachana na malaya mkuu) hadi nikakumbuka ile nyimbo unaaaa,,, "unahepa mshamba unaoa malaya" asante udukuzi umeniepusha yangenikuta.

Nashukuru imenisaidia kujua kwenye list yake tulikua wanaume nane
Nashukuru udukuzi umenisaidia sijaendelea kupoteza nae muda maana nlikua naona napendwa kumbe ndo nadangwa(mwakani kujenga itakuwa rahisi sana)
Kweli mapenzi upofu maana utaona kama unapanda kumbe ndo unavunwa.

Mwisho nimegundua nina moyo maana sikuonyesha reaction yoyote nlivokua nae huku najua kila kitu na nikatafuna papuchi mara ya mwisho huku najua yote hayo (nastahili pongezi kwa huu moyo)
mpaka alivonambia nimemuacha bila sababu mimi nikamtumia tu shots za sikumbili nyuma alivokua anachat nao wote kumbuka tulikua nane.
 
kunywa Pepsi kwa Mangi mkuu...nkiokota hela ntalipa!....umemtendea haki kabisa
Asanteni sana wadukuzi mimi sijapata athari baada ya kumdukua huyu dem wangu, sawa ndani ya siku tatu toka nimdukue nikawa nimeshaachananae
(Hii ni faida maana nimeachana na malaya mkuu) hadi nikakumbuka ile nyimbo unaaaa,,, "unahepa mshamba unaoa malaya" asante udukuzi umeniepusha yangenikuta.

Nashukuru imenisaidia kujua kwenye list yake tulikua wanaume nane
Nashukuru udukuzi umenisaidia sijaendelea kupoteza nae muda maana nlikua naona napendwa kumbe ndo nadangwa(mwakani kujenga itakuwa rahisi sana)
Kweli mapenzi upofu maana utaona kama unapanda kumbe ndo unavunwa.

Mwisho nimegundua nina moyo maana sikuonyesha reaction yoyote nlivokua nae huku najua kila kitu na nikatafuna papuchi mara ya mwisho huku najua yote hayo (nastahili pongezi kwa huu moyo)
mpaka alivonambia nimemuacha bila sababu mimi nikamtumia tu shots za sikumbili nyuma alivokua anachat nao wote kumbuka tulikua nane.
 
App ninayoifahamu mimi ni 100% buree app yenyewe inaitwa "Mobile tracker" inaingizwa kwenye simu ya muhusika (victim) kisha inachukua taarifa zake zoote nakukuletea wewe.

Kwamaelezo zaidi ya jinsi yakuitumia app hii karibu inbox.
safi
 
Back
Top Bottom