Wataalamu wa kudukua/ ku-hack simu za wenza wetu tukutane hapa kueleza athari tulizozipata baada ya kujifanya wajanja!

Tunzo

JF-Expert Member
Feb 1, 2013
4,021
2,296
Usiombe udukue simu ya mwenza wako, unawez ukajitaguliza ahera kwa utakayokutana nayo ukajuta kama wewe ndio wale wanaojifanya mahaba kama yote!

Mimi ukinipa simu yako nikiamua dakika Tano haipiti nimeshakudukua, kuanzia Whatsapp, Calls za kawaida, sms, yani naweza sikiliza calls zako zote sms zote, picha zote, mpaka locatio wakati unawasiliana.

Hii kitu usiombe umdukue umpendae yani asilimia za kumuacha ni 99% mana binadam moyo wake umejaa kiza kinene, kila niliemdukua niliyokutana nae inabidi nifyekelee mbali! Usijifsnye unaringa inapendwa uko peke yako, jaribu hii kama usipozimia.

Yani mpaka niliesema huyu nataka kudumu nae nikasema nimuambie ukweli, nikamwambia mama kuanzia sasa plz kua makini simu yako yote na mawasiliano yako yote yapo kwangu simu yako yote naiona utakachokifanya nakiona so kua makini! Hiyo ndio salama yangu!

Kama huna roho ngumu usi hack simu ya umpendae, mimi niliacha kila niliyemdukua

Hebu tupeane uzoefu tuliowahi kudukua/ hack simu za wenza wetu! Je, tuliyokutana nayo tulihimili?

Kudukua/kuhack au kutrak simu ya mto acha kabisa usifanye hivyo ni kosa.

Na utaalamu wangu iPhone ilinishinda niliweza tu whatsapp! Mwenye ujanja wa kidukua iPhone anipe ujanja.

View attachment 937750
View attachment 937751
View attachment 937752
View attachment 937753
 
Mimi nilijaribu mwaka 2015,kuna vi simu flani hivi vya Itel vya batani, aiseee ni noma. Yaaan nilikiwa napata mawasiliano yote, sms zote mpaka nikawa nacheka peke yangu.

43913096_1950313405275001_1175549664423863566_n.jpeg
 
Ahhh nilwai kudukua mzee, Nikagndua yafutayo,

1. Kwanza Boss wake anamtaka kwa Udi na Uvumba kwa thamani yoyote hile Lakini kwenye kuchunguza niligundua mzee baba Boss ajapiga mzigo bibie kamchomolea wazi wazi, mzee bozz anasend mameseji kibao ya ngono na mapicha picha.

2 kwenye Group lao wakimama hivi wanazungumzia mambo ya ndoa dahh nikandua siri zao nyingi sana wakimama kuhusu mambo ya kwa bed wenapeana elimu ya mahaba na kadharika,

3.Niligundua x wake bado wanawasiliana sema mke wa x wake aligundua mchezo mzima akangonga mkwala uliyosadia kuacha kuwasiliana nami nikashukuru aseee,

4. kuna jamaa bwege bwege hivi anatarifa zote za wife mbaka akiwa kwenye siku zake sasa hapo nafwatilia kwa karibu... uchunguzi wa hawali unaonyesha kama kuna mahusiano flani hivi sina ushaidi zaidi ya sms zao Muda mwingine kama zamahaaba muda mwingine kama just friend only na wanafanyakazi Kampuni moja, na huyo jamaa ana mke na watoto nishajua mbaka mke wake niliwai kumpigia mke wa jamaa nikijifanya nimekosea namba she was polite alinieleza mbaka anapoishi na jina mume wake. sasa sijalipua nasikilizia tuuu ehhh Karibu waduzki wenzangu lakini moyo wa chuma unahitajika seee.......
 
Back
Top Bottom