Wataalamu wa Kodi na TRA naombeni msaada wa hii kitu

proxy

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
1,235
2,000
Hello ,habari ya muda huu ,naombeni kuuliza hivi gharama za makato kwenye kodi ya gratuity zikoje?

Ni asilimia ngapi ya kiwango unachotakiwa kulipa unatakiwa kukatwa?
Mfano mtu analipwa m12 ni kiasi gani unatakiwa kukatwa kama kodi ya serikali kwa kiasi hicho? Wenye ujuzi wa hii naomba ufafanuzi , Asanteni.
 
Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
16,322

Nenda website ya tra then download sheria ya kodi.
 
Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
16,322
2,000
Ni muajiliwa ambaye natakiwa kulipwa hiyo pesa ,kodi ikoje?
Muajiriwa 12m? Anyways..

1. Income tax (15%)

2. Loan board (15%)

3. Health insurance (3% sina hakika sana hapa)

4. LAAPF (10% Sina hakika sana)

5. Mkopo wa benki nao weka kama utakua nao

Ngoja wenginr watajazia zaidi!!
 
USER2013

Senior Member
Jan 24, 2013
108
250
Mkuu gratuity inakuwa ni income from employment kwa hivyo hutozwa kodi kulingana na vile viwango vya PAYE. Kwa bracket zake. So kama mshahara wako ilikuwa unazidi 720,000 kila amount inayozidi 720,000 hutozwa 30%. So kwa wewe itakuwa 12mx30%=3,600,000. Kwa hiyo utabakiwa na 12m-3.6mn inakuja 8.4mn
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom