Wataalamu wa kiswahili: Naomba maana ya neno kupigana pambaja

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Messages
4,058
Points
2,000

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined Jun 27, 2017
4,058 2,000
Habari wana wa JF.

Leo kupitia radio DW nilisikia neno " Mawaziri hao wawili walipigana PAMBAJA na kuwashangaza wengi ktk mkutano huo wa umoja wa Mataifa.

Mawaziri waliozungumziwa ni wa nje wa Sudan na Syria ambapo ndicho kiini cha ziara ya Rais wa Sudan Omar El Bashir nchini Syria Leo. Kwa hiyo kumbe kuna mambo yalifanywa na mawaziri hao wawili kule New York jambo lililoibua ziara ya Leo. Hii ni pamoja na kupigana pambaja.Nini maana ya neno hili?
 

Forum statistics

Threads 1,382,673
Members 526,426
Posts 33,833,521
Top