enock yusto
JF-Expert Member
- May 28, 2014
- 377
- 340
Eti ukitaka kumuuliza baba yako kwa kingereza kwamba "baba mimi ni mtoto wako wa ngapi kuzaliwa?" utasemaje kwa lugha ya malkia
Matanga unamaanisha nini??Namimi mniambie "Matanga"yanaitwaje pulz
nishaanza kuona umuhimu wa ingilishi kozi""faza me is a child of you of how many to be born??""
....I think I'll be more compitent when I pursue my PhD!!..
man hiko kitu muhimu sana.nishaanza kuona umuhimu wa ingilishi kozi
Hakika...................man hiko kitu muhimu sana.
Hili swali liliwahi kuulizwa humu, binafsi nilijibu,Eti ukitaka kumuuliza baba yako kwa kingereza kwamba "baba mimi ni mtoto wako wa ngapi kuzaliwa?" utasemaje kwa lugha ya malkia
Mkuu unatoka Kagera nini? upo vizuri sana. Utani""faza me is a child of you of how many to be born??""
....I think I'll be more compitent when I pursue my PhD!!..
Kwel mkuuunamuuliza hivi ..... baba/mama what is my birth order?
Mhh""faza me is a child of you of how many to be born??""
....I think I'll be more compitent when I pursue my PhD!!..
Hahahahah hata Kama sijuh ila umeenda opFather how many of number of me in ze familia
Ahsante mkuu ntameza Kama ilivyoHili swali liliwahi kuulizwa humu, binafsi nilijibu,
Kama kuna makosa wataalam watarekebisha.
- Daddy what is my seniority in ur family?
- Daddy what's my ordinal position of birth?
Tatizo letu wengi watataka kama inavyo someka kiswahili basi na kiingereza isomeke hivyo hivyo kitu ambacho utashuhudia vituko ving sana kumbe waweza tumia lugha tofauti na ikaleta maana sawa kabisaEti ukitaka kumuuliza baba yako kwa kingereza kwamba "baba mimi ni mtoto wako wa ngapi kuzaliwa?" utasemaje kwa lugha ya malkia