Wataalamu wa kingereza pitieni hapa mnisaidie.

enock yusto

JF-Expert Member
May 28, 2014
377
340
Eti ukitaka kumuuliza baba yako kwa kingereza kwamba "baba mimi ni mtoto wako wa ngapi kuzaliwa?" utasemaje kwa lugha ya malkia
 
unamuuliza hivi ..... baba/mama what is my birth order?
 
....!!!!????

Hebu fanya haka kamchezo
Weka hiyo sentensi yako kwa kingereza kisha amini hivyo hivyo
Amagiro ganu
 
Hili swali liliwahi kuulizwa humu, binafsi nilijibu,

  1. Daddy what is my seniority in ur family?
  2. Daddy what's my ordinal position of birth?
Kama kuna makosa wataalam watarekebisha.
Ahsante mkuu ntameza Kama ilivyo
 
Eti ukitaka kumuuliza baba yako kwa kingereza kwamba "baba mimi ni mtoto wako wa ngapi kuzaliwa?" utasemaje kwa lugha ya malkia
Tatizo letu wengi watataka kama inavyo someka kiswahili basi na kiingereza isomeke hivyo hivyo kitu ambacho utashuhudia vituko ving sana kumbe waweza tumia lugha tofauti na ikaleta maana sawa kabisa
Mf.
1.How many children was born before me in our family dady??? Or
2.In which number am belonging too in a series of your children father?

Nimejaribu hizo mbili bt nipo radhi kurekebishwa na wajuvi zaid
 
Back
Top Bottom