Wataalamu wa kingereza pitieni hapa mnisaidie.

Tatizo letu wengi watataka kama inavyo someka kiswahili basi na kiingereza isomeke hivyo hivyo kitu ambacho utashuhudia vituko ving sana kumbe waweza tumia lugha tofauti na ikaleta maana sawa kabisa
Mf.
1.How many childrens was born before me in our family dady??? Or
2.In which number am belonging too in a series of your childrens father?

Nimejaribu hizo mbili bt nipo radhi kurekebishwa na wajuvi zaid
Rekebisha hapo kwa children'S', children tayari ni wingi wa child.
 
Tatizo letu wengi watataka kama inavyo someka kiswahili basi na kiingereza isomeke hivyo hivyo kitu ambacho utashuhudia vituko ving sana kumbe waweza tumia lugha tofauti na ikaleta maana sawa kabisa
Mf.
1.How many childrens was born before me in our family dady??? Or
2.In which number am belonging too in a series of your childrens father?

Nimejaribu hizo mbili bt nipo radhi kurekebishwa na wajuvi zaid
Mkuu huwa hatuna "Childrens"
Singular-Child
Plural-Children.
Tuendelee kujifunza maana hii si lugha yetu.Hata baadhi ya wakuu wa nchi hawaijui.
 
kwani hadi unafikia umri huo hujajua tu ww ni wa ngapi kuzaliwa hadi umuulize leo baba yako

kidding i dont knw either
 
Tatizo letu wengi watataka kama inavyo someka kiswahili basi na kiingereza isomeke hivyo hivyo kitu ambacho utashuhudia vituko ving sana kumbe waweza tumia lugha tofauti na ikaleta maana sawa kabisa
Mf.
1.How many children was born before me in our family dady??? Or
2.In which number am belonging too in a series of your children father?

Nimejaribu hizo mbili bt nipo radhi kurekebishwa na wajuvi zaid
Or simply you can say "Dad, what number am I amongst your children?
 
Rasi simba yupo magomeni mapipa ukishindwa kiingereza baada ya mweez mmoja anakurejeshea ada yako.
 
Back
Top Bottom