Wataalamu wa Jiji vyumba maeneo ya upanga na maeneo jirani vinasomekaje

Tatizo aliposema tu chumba na sebule, hapo ndio wengi tumeonaa bei haziwezi kwa maana upanga hakuna mambo ya chumba sebule. Na pia imeonyesha hapajui vizuri upanga.
Ukweli cpajui kiundan boss, kitu MTU anachokijua atauliza Ndugu. Acha tuendelee kupambana. Tukutane upanga au maeneo jiran. Chumba na sebule oyeeee
 
Soma heading na content Ndugu, kama Sio upanga, maeneo jiran Ambyo yatakuja affordable.. watu hata hamsomi nini nimeandika mnaishia kusema upanga upanga tu..
Maeneo ya jirani na Upanga ni Kariakoo, Posta, Kisutu.....unayaweza?

Huko Kino, Mwanayamala,Magomeni sio jirani sema tu patakufaa.
 
Soma heading na content Ndugu, kama Sio upanga, maeneo jiran Ambyo yatakuja affordable.. watu hata hamsomi nini nimeandika mnaishia kusema upanga upanga tu..

Sio kwamba watu hawasomi. Sema mshahara wako ni sh. ngapi ili tukuambie ukaishi wapi
 
Upanga sio kama kwenu Nyashimo.
Pili upanga zungumzia Apartment na sio chumba.
Kazi yako kama haina maslahi makubwa hela yote utatumia kulipia nyumba.

Mwisho wa siku lazima uangukie magomeni, kinondoni, makumbusho
Wabongo bhana, sijui hua ni umri wenu ndiyo mdogo bado mna ujana au ni mna tatizo la akili
 
Ndio maana wengi tunashindwa mitihani.., jamaa anaulizia bei majibu yanakuja wewe huwezi kumudu bei....

Anyway... tutafika tu, ingawa tutakuwa tumechoka....
wabongo wengi ni watu wajinga wajinga sana, yaani mtu anakurupuka tu kuponda, mtu anaweza kuuliza hivyo na bado akawa na uwezo wa hizo laki6 per month...
 
Tatizo aliposema tu chumba na sebule, hapo ndio wengi tumeonaa bei haziwezi kwa maana upanga hakuna mambo ya chumba sebule. Na pia imeonyesha hapajui vizuri upanga.
Huo ni ushamba tu, mtu humjui unakurupuka tu, hujawahi ona mtu anaingia showroom anakagua Starlet na IST lakini kumbe anahitaji Land Cruiser? WaTanzania hua mna ushamba mwingi sana na ujuaji wa kipuuzi usio tija
 
Tafta chumba apo Mikocheni A kuna kauswazi hapo migombani street ni karibu nq upanga
 
Back
Top Bottom