Kashaija72
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,031
- 4,862
Je ukitumia hiyo "reuse" usalama wake upoje?Hahaha!!! bahat mbaya kuna watu wataamini sio sahihi kufanya software reuse.
Specific hawa ambao wanasoma mtaani.
Ety unatengeza website uanze from scratch na unajua kutumia joomla template!?