SHIEKA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,244
- 4,258
Mwezi wa sita mwaka huu nilinunua gari aina ya Toyota Noah. Tangu wakati huo mpaka sasa haijaniletea tatizo lolote.
Hivi juzi asubuhi niliiwasha nikaiacha kwenye silence kisha nikaingia ndani mwangu kuchukua kitu nilichosahau. Niliporudi kwenye gari ndio nikaona kitu kilichonishangaza. Nilipotupia jicho kwenye exhaust pipe niliona vitone vya maji vikitiririka.
Je, hiyo ni nini? Vitone vya maji kwenye exhaust vinatoka wapi? Au ndio mfumo wa maji kwenye radiator umeshavurugika na kuingia kwenye engine?
Naomba mdau mtaalamu anieleweshe.