Wataalamu wa injini za magari naomba mnieleze hili jambo

SHIEKA

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,244
4,258
Mwezi wa sita mwaka huu nilinunua gari aina ya Toyota Noah. Tangu wakati huo mpaka sasa haijaniletea tatizo lolote.

Hivi juzi asubuhi niliiwasha nikaiacha kwenye silence kisha nikaingia ndani mwangu kuchukua kitu nilichosahau. Niliporudi kwenye gari ndio nikaona kitu kilichonishangaza. Nilipotupia jicho kwenye exhaust pipe niliona vitone vya maji vikitiririka.

Je, hiyo ni nini? Vitone vya maji kwenye exhaust vinatoka wapi? Au ndio mfumo wa maji kwenye radiator umeshavurugika na kuingia kwenye engine?

Naomba mdau mtaalamu anieleweshe.
 
Hahahaaaaa nakumbuka mwaka 2000 mama mmoja alipeleka gari gereji akilalamika kuwa kila asubuhi linatoa maji kwenye exhaust,

Upya na ubora wa engine hufanya exhaust itoe maji badala ya moshi, ukiona gari yako inatoa moshi si dalili nzuri ujue kuna kitu hakiko sawa au injini ndio inazeeka ivo
 
Maji yanatoka wapi sasa Njau?

Umefanya vema kuulizia maana ndio njia sahihi kuliko wanaokubeza hapa. Mafundi watakuambia ukiona hilo ujue mfumo wa injini yako ni safi sana, jivunie una gari zuri. Hii kwa kawaida hutokea asubuhi unapowasha kwa vile mvuke wa majimaji huwa umeganda, na unapowasha mvuke huo ndani ya mfumo wa cylinder na exhaust huyehuka na majimaji hayo kutokea kwa njia hiyo.

Soma hapo chini upata moja ya kitaalamu toka kwa mainjinia.

When internal combustion engines run, the air and fuel combustion that takes place inside the cylinders releases moisture from the air, which generally gets sent out the exhaust system as water vapor or steam. If the engine and exhaust system are cold, moisture can condense from the steam to form a liquid that may drip out of the tailpipe.Have a question? Get an answer from a Mechanic now!

Read more: What Causes Water Dripping From a Muffler? | eHow
 
Umefanya vema kuulizia maana ndio njia sahihi kuliko wanaokubeza hapa. Mafundi watakuambia ukiona hilo ujue mfumo wa injini yako ni safi sana, jivunie una gari zuri. Hii kwa kawaida hutokea asubuhi unapowasha kwa vile mvuke wa majimaji huwa umeganda, na unapowasha mvuke huo ndani ya mfumo wa cylinder na exhaust huyehuka na majimaji hayo kutokea kwa njia hiyo.

Soma hapo chini upata moja ya kitaalamu toka kwa mainjinia.
Asante Candid Scope. Nimesoma hiyo link na nimepata kitu hapo.
 
Last edited by a moderator:
Mwezi wa sita mwaka huu nilinunua gari aina ya Toyota Noah. Tangu wakati huo mpaka sasa haijaniletea tatizo lolote. Hivi juzi asubuhi niliiwasha nikaiacha kwenye silence kisha nikaingia ndani mwangu kuchukua kitu nilichosahau. Niliporudi kwenye gari ndo nikaona kitu kilichonishangaza. Nilipotupia jicho kwenye exhaust pipe niliona vitone vya maji vikitiririka. Je, hiyo ni nini? Vitone vya maji kwenye exhaust vinatoka wapi? Au ndo mfumo wa maji kwenye radiator umeshavurugika na kuingia kwenye engine? Naomba mdau mtaalamu anieleweshe.
Hilo bonge la gari bro hasa kipindi hiki cha shida ya maji unafaidije.....
 
Attachments

  • IMG-20131119-WA0005.jpg
    IMG-20131119-WA0005.jpg
    23.1 KB · Views: 286
Mwezi wa sita mwaka huu nilinunua gari aina ya Toyota Noah. Tangu wakati huo mpaka sasa haijaniletea tatizo lolote.
Hivi juzi asubuhi niliiwasha nikaiacha kwenye silence kisha nikaingia ndani mwangu kuchukua kitu nilichosahau. Niliporudi kwenye gari ndo nikaona kitu kilichonishangaza. Nilipotupia jicho kwenye exhaust pipe niliona vitone vya maji vikitiririka.
Je, hiyo ni nini? Vitone vya maji kwenye exhaust vinatoka wapi? Au ndo mfumo wa maji kwenye radiator umeshavurugika na kuingia kwenye engine?
Naomba mdau mtaalamu anieleweshe.

system ipo hivi, mafuta ni hydrocarbon, na chemical formula ni CH4,sasa kinacho fanyika ni ku convert chemical energy to heat energy, ni ili kupata heat energy vina hitajika vitu vitatu, oxygen, souce of heat na fuel, CH4+O2+heat product ni Co2+H20 ikiwa complete combustion, H2O ni maji, ndio hayo tuna yaona kwenye exhoust pipe, hii ni ishara kwamba air/fuel mixture ratio ipo proper kwenye engine ya gari yako, (stoichiometry) kama kama mixture ya fuel na oxygen sio proper, yaani either una rich au weak mixture complete combustion haito tokea,na engine yako itakua na tatizo, kwako wewe engine ya gari yako ipo vizuri
 
asante...umenikumbusha mkandawile.....kule mchikidown....
 
Mambo mengine google ndugu, utapata jibu la uhakika zaidi. What Causes Water Dripping From a Muffler? | eHow

Small Amounts

A small amount of water dripping from the tailpipe of a cold engine is normal, and should cause no concern. Some cars' exhausts might drip constantly if they are used only for short trips, as the engine and exhaust system may never get hot enough to prevent the exhaust moisture from condensing back to liquid. The biggest danger of chronic small amounts of water in the exhaust system is the possibility of rusting out the system prematurely. Many exhaust systems are made from stainless steel to prevent rusting.
...naomba unyambulisho kwenye nyekundu.
 
Mambo mengine google ndugu, utapata jibu la uhakika zaidi. What Causes Water Dripping From a Muffler? | eHow

Large Amounts

If there are large amounts of water dripping from the tailpipe, it can be symptomatic of a leaky head-gasket, which is a serious and costly repair. Usually, when head gaskets begin leaking, the exhaust plume becomes quite thick and light colored and may emit a sweet odor. This is produced by your engine coolant being boiled and exhausted from the combustion chambers. Seek mechanical help immediately.

...kweli JF ni kila kitu!
 
Mwezi wa sita mwaka huu nilinunua gari aina ya Toyota Noah. Tangu wakati huo mpaka sasa haijaniletea tatizo lolote.
Hivi juzi asubuhi niliiwasha nikaiacha kwenye silence kisha nikaingia ndani mwangu kuchukua kitu nilichosahau. Niliporudi kwenye gari ndo nikaona kitu kilichonishangaza. Nilipotupia jicho kwenye exhaust pipe niliona vitone vya maji vikitiririka.
Je, hiyo ni nini? Vitone vya maji kwenye exhaust vinatoka wapi? Au ndo mfumo wa maji kwenye radiator umeshavurugika na kuingia kwenye engine?
Naomba mdau mtaalamu anieleweshe.

naona wengi wanakusifia tu gari nzuri....kama gari inatiririsha maji mengi ni tatizo....inaweza kuwa cylinder head gasket ishachoka........tena hizo NOAH ndio watu wanaunguza sana head gasket kwasababu hazina temp. gauge iliozoeleka.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom