Kwa wale waliotazama movie ya Troy watakuwa wanamtambua Achilles. Huyu alikuwa mpiganaji mzuri sana kwenye historia ya wagiriki lakini nilipojaribu kusoma mtandaoni nilikuta maelezo kuwa mtu huyu alikuwa kwenye Greek mythology kitu kilichonifanya nishindwe kujua kuwa Achilles alikuwa mtu halisi au ni mtu wa kwenye hadithi tu.
Hivyo ningependa wataalamu wanisaidie, je, Achilles aliwahi kuishi kweli?
Hivyo ningependa wataalamu wanisaidie, je, Achilles aliwahi kuishi kweli?