Wataalamu wa Editing, msaada kwa hili

Do santos

JF-Expert Member
Feb 7, 2011
635
337
Naomba msaada wa kufanya Editing kama picha mbili zinavyojionesha hapo chini. Nataka kuweka text zinazo crawl kutoka left to right lakini mwisho wake ziishie kwenye rangi nyeusi.

Kila nikiweka maandishi yanapita rangi nyeusi, yaani hayaishii kwenye Bodi ya rangi nyeusi. Natumia Adobe Premiere. Mwenye uelewa tafadhali msaada.

Untitled-2.jpg
Untitled-3.jpg
 
Kwanza Tenganisha hiyo bar na hizo texts ziwe layer tofauti, unatumia premiere toleo la ngapi?
 
Kisha kwenye layer ya hayo maandishi weka effect ya crop. Nenda kwenye effect control kwenye CROP kisha ongeza/punguza numbers kwenye RIGHT option utaona maandishi yanapotea, increase/Decrease numbers hadi utakapo penda maandishi yaanzie wapi kutoka kulia. Fanya na LEFT CROP hivyo hivyo. Kisha rudi kwenye TEXT POSITION tengeneza keyframes.
 
Mkuu nashukuru sana Mungu akubariki.
Nimefanikiwa.

Samahani sana kwa kuchelewa kuleta
mrejesho mapema.

Kisha kwenye layer ya hayo maandishi weka effect ya crop. Nenda kwenye effect control kwenye CROP kisha ongeza/punguza numbers kwenye RIGHT option utaona maandishi yanapotea, increase/Decrease numbers hadi utakapo penda maandishi yaanzie wapi kutoka kulia. Fanya na LEFT CROP hivyo hivyo. Kisha rudi kwenye TEXT POSITION tengeneza keyframes.
 
Naomba msaada wa kufanya Editing kama picha mbili zinavyojionesha hapo chini. Nataka kuweka text zinazo crawl kutoka left to right lakini mwisho wake ziishie kwenye rangi nyeusi.

Kila nikiweka maandishi yanapita rangi nyeusi, yaani hayaishii kwenye Bodi ya rangi nyeusi. Natumia Adobe Premiere. Mwenye uelewa tafadhali msaada.

Kisha kwenye layer ya hayo maandishi weka effect ya crop. Nenda kwenye effect control kwenye CROP kisha ongeza/punguza numbers kwenye RIGHT option utaona maandishi yanapotea, increase/Decrease numbers hadi utakapo penda maandishi yaanzie wapi kutoka kulia. Fanya na LEFT CROP hivyo hivyo. Kisha rudi kwenye TEXT POSITION tengeneza keyframes.
Wakuu naweza kutumia adobe premiere kutengeneza advertising videos? Kama kuna free website ya kutengeneza ads online naomba mnisaidie jina lake.
Nimejaribu bannerstack lakini sijafanikiwa maana mtu hawezi kudownload video mpaka alipie
 
Ndiyo unaweza ila unahitaji ujue basics zake kwanza ndo uweze kuitumia vile unavyotaka. Ila matangazo mengi watu wanatumia Adobe after effects, hii lazima uwe mzoefu. Kama ni kazi serious watafute wenye hiyo profession wakufanyie, ila kama unajifunza basi tazama youtube turtorials.
 
Nashukuru sana mkuu
 
Nataka kujifunza After Effects.
Nipe ABC zake kidogo.

Je unaweza kuedit ya kazi ya nusu saa au zaidi au ni vipande vidogo tu.

Je unaweza kunisaidia kupata tutorial nzuri ya kuanza kujifunzia.

Niliwahi kujaribu kutengeneza logo ya 3D animation ikanisumbua kinyama.

Tafuta Adobe after effects basic turtorials Youtube utaziona zote.

Ndiyo adobe inaweza kuedit hata kazi ya lisaa limoja ila mashine yako itabidi iwe vizuri kwenye processor, RAM na GPU, kinyume na hapo itakua inastuck sana. Kwa jinsi ilivyo inapendeza sana ukifanya projects fupi fupi dakika 10/20 kwenye special effects pekee. Hata kwenye ku-RENDER/EXPORT/PREVIEW itafanya fasta.
 
Samahani sana naomba msaada namna gani naweza kuweka Maandishi
yanayoingia na kutoka kama wanayoweka katika Taarifa habari ya ITV.

Kuna yale yanayotoka kulia kwenda kushoto yanatembea. Lakini kwa ITV hayatembei
kama yanatokea kwa chini yanakaaa kwa sekunde chache na kupotea.
Natumia Adobe Priemiere

Attachments

  • WhatsApp Video 2020-08-19 at 07.44.15.mp4
    1.4 MB
Samahani sana naomba msaada namna gani naweza kuweka Maandishi
yanayoingia na kutoka kama wanayoweka katika Taarifa habari ya ITV.

Kuna yale yanayotoka kulia kwenda kushoto yanatembea. Lakini kwa ITV hayatembei
kama yanatokea kwa chini yanakaaa kwa sekunde chache na kupotea.
Natumia Adobe Priemiere

Andika maandishi kisha, yaseti usawa utakaoonekana vizuri kisha nenda kwenye effects control, position yashuke chini yasionekane kisha weka keyframe, kisha sogeza mbele playback baada ya sekunde moja position hayo maneno yarudi katikati, (keyframe itajirengeneza automatic) kisha sogeza playback baada ya sekunde tano position hayo maneno yaende juu yapotee kabisa (keyframe itajitenfeneza automatic)

Kisha bonyeza play utazame.
 
Mk

Mkuu habari yako.
Nataka kuweka tangazo kwenye video kwa namna linavyoonekana kama picha chini ilivyo.
Likae kwa namna ya herefi L. Natumia Adobe premiere. Msaada wako please.

Screenshot_20220414-223645.png
 
Back
Top Bottom