Wataalamu wa body language, maoni yenu tafadhali

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,268
1575880474375.jpeg
 
Mzee Mangula ana uchapa, Dk Bashiru anaomba muda upite. Mstari wa nyuma mkurugenzi wa uhamiaji anauchapa.
Kweli wanawake hampendani!
Dada unamchongea Dada Anna wa Uhamiaji namna hiyo?
Hapo kainamisha kichwa anasoma kitu hajalala.

Mzee Mangula kweli hali tete, mbonji kwa umri wake kawaida tu, kama Hayati Mugabe tu na hilo vazi maalumu la sherehe.
 
Back
Top Bottom