Labda anamfunda ndotoniMzee Mangula huyu huyu anaekoroma hapo!
Mzee Mangula huyu huyu anaekoroma hapo!
Kweli wanawake hampendani!Mzee Mangula ana uchapa, Dk Bashiru anaomba muda upite. Mstari wa nyuma mkurugenzi wa uhamiaji anauchapa.
we jamaa sijui unatumia kitu gani kufikiria,sasa mtu kalala anamfundaje ambae hajalala
Huyo huwa hafikiri, yanatoka moja kwa moja huko yanakotoka, ndiyo maana ni machafuwe jamaa sijui unatumia kitu gani kufikiria,sasa mtu kalala anamfundaje ambae hajalala
Mbowe kwisha Habari yake kakutana na gwiji la siasa Mzee mangula
Amefundwa amekosa neno
Mzee Mangula huyu huyu anaekoroma hapo!
we jamaa sijui unatumia kitu gani kufikiria,sasa mtu kalala anamfundaje ambae hajalala
Tupo ziarani tunatekeleza ilani ya chamaView attachment 1286279
Hajalala Mkuu anasoma kitu Angalia vizuri
Dahhh....
Mpiga picha amemuharibia kazi tayari mama huyo boss wa uhamiaji