Wataalamu wa biashara vipi mtizamo na ushauri wenu hapa.

okiwira

JF-Expert Member
Jul 23, 2018
2,785
2,848
Biashara ya vifaa vya Simu na biashara ya Nguo za kike na watoto ipi inalipa zaidi?

Kwa maeneo ya mikoani kama Mbeya Tukuyu na Njombe Rudewa?


Kwa mtaji wa tsh.laki tatu. kwa kuanzia.
 
Nguo za kike na watoto. Fanya biashara ya vitu ambavyo ni muhimu kwa binadamu (basic needs), hutajuta.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom