Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,601
- 4,087
Acha ubwege wewe,Ulikua unatafuta nini kwenye huo mkoba?
Kupekua ni muhimu!!!
Acha ubwege wewe,Ulikua unatafuta nini kwenye huo mkoba?
Lazima apekue kwa maslahi mapana ya familia!!!Bro unapekua mikoba ya mdogo wako wa kike?
Asante mkuu ni sahihi nipo mbeya nikajua dogo ameukwaa
Acha ubwege wewe,
Kupekua ni muhimu!!!
Yawezekana pia ana ngoma nao wanafanya majaribio. Ya dawa kwakeHuyo wame mchukua kumfanyia majaribio ambapo wamemwekea vimelea vya ukimwi afu wanatest dawazao kamazinafanyakaz