Wataalamu wa afya naomba msaada

Barn

JF-Expert Member
Feb 28, 2017
2,734
4,024
Hii card nimeikuta kwenye mkoba wa mdogo wangu wa kike yupo kidato cha nne, ni ya nini?
20191008_165200.jpeg
 
Hao jamaa wanafanya research ya madawa na vaccine zao za Maralia, TB na HIV ila sana sana wamejikita kwenye 'ngoma' katika mikoa ya southern highlands particulary Mbeya. Mdogo wako amekuwa mmoja wa samples. Usiogope wala kupaniki. Muulize vizuri tu. Ni US military research program. Wanashirikiana na Mbeya referral hospital, Muhimbili na wizara ya afya
 
Asante mkuu ni sahihi nipo mbeya nikajua dogo ameukwaa
 
Hao jamaa wanafanya research ya madawa na vaccine zao za Maralia, TB na HIV ila sana sana wamejikita kwenye 'ngoma' katika mikoa ya southern highlands particulary Mbeya. Mdogo wako amekuwa mmoja wa samples. Usiogope wala kupaniki. Muulize vizuri tu. Ni US military research program. Wanashirikiana na Mbeya referral hospital, Muhimbili na wizara ya afya
hawa ngozi nyeupe hawa daaah naskia wanapandikiza virus africa afu dawa wanazificha mfano virus vya ebola naskia ndo wamevileta hawa washkaji ili kuvitest africa
 
Huyo wame mchukua kumfanyia majaribio ambapo wamemwekea vimelea vya ukimwi afu wanatest dawazao kamazinafanyakaz
 
Baadhi ya vituo mtu akienda kufanya kipimo cha HIV hupewa kadi hii, haimaanishi kama ni mgonjwa, ni ukienda tu kupima wanakupa kadi.
 
Sawa mkuu kuna mtu hapo kasema wamemchukua kama sample ya majaribio hivyo watakua wamempandikiza virusi ili kujaribisha dawa zao, hii imekaaje
 
Relax ili nikutoe wasiwasi hii siyo card ya kuchukulia vidonge vya ARV.Inaweza kuwa labda pia yupo kwenye process ya vidonge vya uzazi wa mpango.
 
Huyo wame mchukua kumfanyia majaribio ambapo wamemwekea vimelea vya ukimwi afu wanatest dawazao kamazinafanyakaz
Kujifanya much know akati unaongea Utumboo mtupu...!! Siku nyingine kama huna cha kuandika pita kimya..
 
Back
Top Bottom