Wataalamu nisaidieni; hivi Pneumonia inakingwa kwa Barakoa?

Bila bila

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
21,471
37,730
Siku za hivi karibuni umezuka ugonjwa mpya ulioitwa "Changamoto ya upumuaji" ambayo baada ya uchunguzi wa kina wa Wataalamu wetu wakaja na hitimisho kwamba ni Nyumonia (pneumonia).

Leo huko Tanga Waziri mkuu akashauri ili kujikinga na ugonjwa huo kasema kitu kipya kabisa kwamba tuvae Barakoa kujikinga na magonjwa ya changamoto za upumuaji.

Sasa swali kwa wataalamu maana huyu ni msanasiasa tena Mwalimu kitaaluma. Je, nyumonia inakingwa kwa Barakoa?
 
Siku za hivi karibuni umezuka ugonjwa mpya ulioitwa "Changamoto ya upumuaji" ambayo baada ya uchunguzi wa kina wa Wataalamu wetu wakaja na hitimisho kwamba ni Nyumonia (pneumonia). Leo huko Tanga Waziri mkuu akashauri ili kujikinga na ugonjwa huo kasema kitu kipya kabisa kwamba tuvae Barakoa kujikinga na magonjwa ya changamoto za upumuaji. Sasa swali kwa wataalamu maana huyu ni msanasiasa tena Mwalimu kitaaluma, Je, nyumonia inakingwa kwa Barakoa?
Nimonia ni matokeo ya kuwa triggered kwa Kinga zako na virus vinavyopitia kwa hewa
 
Back
Top Bottom