Wataalamu, nimeweka document kwenye google drive inasoma 0 bytes, halafu sina backup!

Interest

JF-Expert Member
Apr 11, 2015
3,434
7,055
Nahisi nimepoteza kazi yangu kizembe sana!

Kuna document nilikuwa naiandaa online kupitia www.offidocs.com kisha kwenye kusave nikachagua upoad to google drive.

Ilivyomaliza ikaniandikia succesful lakini ajabu naikuta hiyo document ikiwa na 0.0kb halafu haifunguki!

Kuna fix?
 
Da hapo ni changamoto mkuu rudi ulikoitoa na uanze kurecover tu
 
Back
Top Bottom