Wataalamu naombeni msaada wenu kwa tatizo la miwasho mwilini.

Drydon

Drydon

Member
Joined
Mar 11, 2019
Messages
36
Points
95
Drydon

Drydon

Member
Joined Mar 11, 2019
36 95
Habari wapendwa ni muda takribani miaka 6 tatizo la miwasho mwilini baada ya kutoka kuoga linanisumbua japo si kwa mfululizo ila linakuwa kali zaidi kipindi hiki cha unyevu unyevu kutokana na mvua.
Nimekuwa mtu wa kuandikiwa vidongo vya allege mala cetrizen, priton lakini kiukweli havisaidii.
Muda wa kujiandaa hasa baada ya kutoka kuoga ili kutoka nje inanichukua muda kutokana na adha hii ya miwasho ambayo huchukua takribani lisaa kuacha.
Kuna wakati hali hii hutoweka kabisa huweza kuchukua wiki nikasahau kabisa ila linaporudi huja kasi na halichagui maji yawe ya chumvi (magumu) au mvua, nk hii hali hutokea tu.Naomba nisihusishe kiundani maumivu ninayopitia na maelezo ya hapa maana nitaandika sana niishie hapa Watalaamu wa kada hii naombeni msaada wenu ziwe dawa za asili ama za kitaalamu mahospitalini nitashukulu sana.
 
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
34,719
Points
2,000
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
34,719 2,000
Kunywa piriton kabla hujaoga.
 
Times9

Times9

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Messages
917
Points
1,000
Times9

Times9

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2017
917 1,000
Mkuu ilishawahi nikuta hii adhaa, ila me nlkuja kugundua ni allergy ya kubadili mazingira,,,,Nltoka kanda ya ziwa nikaja Mbeya hali hii ya kuwasha mwili ikaniaanzaga 2017 hiyo lakini ilikuja kuacha tu mpaka asaiv bila kutumia dawa yoyote... Lakini inatesa sana hio hali mkuu...
 
Drydon

Drydon

Member
Joined
Mar 11, 2019
Messages
36
Points
95
Drydon

Drydon

Member
Joined Mar 11, 2019
36 95
Ni wakati mgumu sana kama una safari ya haraka muda huo huo huwez toka. Kama ulioanga utoke saa moja itabidi uoge saa 12

Polee sana mkuu! Me ilikuaga inanikuta hata njiani natembea au niko town misele daah! Nlkua kama chizi nalazimika kutafuta chemba nijifiche nijikune walau kidogo... 😬
 
Emanueli misalaba

Emanueli misalaba

Member
Joined
Dec 12, 2016
Messages
90
Points
125
Age
34
Emanueli misalaba

Emanueli misalaba

Member
Joined Dec 12, 2016
90 125
Pole sana ndugu, tumia hii dozi japo wiki moja mkuu, 1. Bircabone
Habari wapendwa ni muda takribani miaka 6 tatizo la miwasho mwilini baada ya kutoka kuoga linanisumbua japo si kwa mfululizo ila linakuwa kali zaidi kipindi hiki cha unyevu unyevu kutokana na mvua.
Nimekuwa mtu wa kuandikiwa vidongo vya allege mala cetrizen, priton lakini kiukweli havisaidii.
Muda wa kujiandaa hasa baada ya kutoka kuoga ili kutoka nje inanichukua muda kutokana na adha hii ya miwasho ambayo huchukua takribani lisaa kuacha.
Kuna wakati hali hii hutoweka kabisa huweza kuchukua wiki nikasahau kabisa ila linaporudi huja kasi na halichagui maji yawe ya chumvi (magumu) au mvua, nk hii hali hutokea tu.Naomba nisihusishe kiundani maumivu ninayopitia na maelezo ya hapa maana nitaandika sana niishie hapa Watalaamu wa kada hii naombeni msaada wenu ziwe dawa za asili ama za kitaalamu mahospitalini nitashukulu sana.
Habari wapendwa ni muda takribani miaka 6 tatizo la miwasho mwilini baada ya kutoka kuoga linanisumbua japo si kwa mfululizo ila linakuwa kali zaidi kipindi hiki cha unyevu unyevu kutokana na mvua.
Nimekuwa mtu wa kuandikiwa vidongo vya allege mala cetrizen, priton lakini kiukweli havisaidii.
Muda wa kujiandaa hasa baada ya kutoka kuoga ili kutoka nje inanichukua muda kutokana na adha hii ya miwasho ambayo huchukua takribani lisaa kuacha.
Kuna wakati hali hii hutoweka kabisa huweza kuchukua wiki nikasahau kabisa ila linaporudi huja kasi na halichagui maji yawe ya chumvi (magumu) au mvua, nk hii hali hutokea tu.Naomba nisihusishe kiundani maumivu ninayopitia na maelezo ya hapa maana nitaandika sana niishie hapa Watalaamu wa kada hii naombeni msaada wenu ziwe dawa za asili ama za kitaalamu mahospitalini nitashukulu sana.
Tumia mchanganyiko huu 1. Apple cider vinegar au juice ya ndimu vijiko viwili vya Chakula. 2.Baking soda kijiko kimoja cha chai na glass moja ya maji.
Weka baking soda kwenye chombo ikifuatiwa na Apple cider vinegar au juice ya ndimu koronga vizuri then maji koronga tena vizuri halafu kunywa kila asubuhi ukiwa hujala chochote fanya hivi kwa muda wa wiki moja, wajawazito wanashauriwa kutotumia.
 
Attachments:

nerilan

nerilan

Senior Member
Joined
Dec 11, 2013
Messages
194
Points
250
nerilan

nerilan

Senior Member
Joined Dec 11, 2013
194 250
Habari wapendwa ni muda takribani miaka 6 tatizo la miwasho mwilini baada ya kutoka kuoga linanisumbua japo si kwa mfululizo ila linakuwa kali zaidi kipindi hiki cha unyevu unyevu kutokana na mvua.
Nimekuwa mtu wa kuandikiwa vidongo vya allege mala cetrizen, priton lakini kiukweli havisaidii.
Muda wa kujiandaa hasa baada ya kutoka kuoga ili kutoka nje inanichukua muda kutokana na adha hii ya miwasho ambayo huchukua takribani lisaa kuacha.
Kuna wakati hali hii hutoweka kabisa huweza kuchukua wiki nikasahau kabisa ila linaporudi huja kasi na halichagui maji yawe ya chumvi (magumu) au mvua, nk hii hali hutokea tu.Naomba nisihusishe kiundani maumivu ninayopitia na maelezo ya hapa maana nitaandika sana niishie hapa Watalaamu wa kada hii naombeni msaada wenu ziwe dawa za asili ama za kitaalamu mahospitalini nitashukulu sana.
Mkuu pole sana kwa hilo tatizo. Nina maswali machache, vipi kama ukioga maji ya kuchemsha na ukajifuta na taulo safi?. Hali bado inakuwepo?
 
T

tunene

Member
Joined
Mar 14, 2017
Messages
38
Points
125
T

tunene

Member
Joined Mar 14, 2017
38 125
Habari wapendwa ni muda takribani miaka 6 tatizo la miwasho mwilini baada ya kutoka kuoga linanisumbua japo si kwa mfululizo ila linakuwa kali zaidi kipindi hiki cha unyevu unyevu kutokana na mvua.
Nimekuwa mtu wa kuandikiwa vidongo vya allege mala cetrizen, priton lakini kiukweli havisaidii.
Muda wa kujiandaa hasa baada ya kutoka kuoga ili kutoka nje inanichukua muda kutokana na adha hii ya miwasho ambayo huchukua takribani lisaa kuacha.
Kuna wakati hali hii hutoweka kabisa huweza kuchukua wiki nikasahau kabisa ila linaporudi huja kasi na halichagui maji yawe ya chumvi (magumu) au mvua, nk hii hali hutokea tu.Naomba nisihusishe kiundani maumivu ninayopitia na maelezo ya hapa maana nitaandika sana niishie hapa Watalaamu wa kada hii naombeni msaada wenu ziwe dawa za asili ama za kitaalamu mahospitalini nitashukulu sana.
Pole nilikuwa na tatizo hilo.ni pm nikuelekeze
 
chrisbleez

chrisbleez

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2016
Messages
204
Points
250
Age
33
chrisbleez

chrisbleez

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2016
204 250
Dah!aise....kwanza nikupongeze kwa kujitoa kwako kwa niaba ya wengine na wewe binafsi,mie nikili wazi ni mmoja wapo wa wahanga wa tatizo hilo mpaka kesho na natambua maumivu na kero tunazopitia na kuna wakati mwingine hata unashindwa kutumia dodoki kujisugua kwa hofu ya kuogopa kuwashwa nikuombe usisite kutupa mrejesho pindi utakapofanikiwa kupata dawa au utatuzi ahsante.
Habari wapendwa ni muda takribani miaka 6 tatizo la miwasho mwilini baada ya kutoka kuoga linanisumbua japo si kwa mfululizo ila linakuwa kali zaidi kipindi hiki cha unyevu unyevu kutokana na mvua.
Nimekuwa mtu wa kuandikiwa vidongo vya allege mala cetrizen, priton lakini kiukweli havisaidii.
Muda wa kujiandaa hasa baada ya kutoka kuoga ili kutoka nje inanichukua muda kutokana na adha hii ya miwasho ambayo huchukua takribani lisaa kuacha.
Kuna wakati hali hii hutoweka kabisa huweza kuchukua wiki nikasahau kabisa ila linaporudi huja kasi na halichagui maji yawe ya chumvi (magumu) au mvua, nk hii hali hutokea tu.Naomba nisihusishe kiundani maumivu ninayopitia na maelezo ya hapa maana nitaandika sana niishie hapa Watalaamu wa kada hii naombeni msaada wenu ziwe dawa za asili ama za kitaalamu mahospitalini nitashukulu sana.
 
Drydon

Drydon

Member
Joined
Mar 11, 2019
Messages
36
Points
95
Drydon

Drydon

Member
Joined Mar 11, 2019
36 95
Sawa mkuu

Nyakageni

Nyakageni

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2011
Messages
14,539
Points
2,000
Nyakageni

Nyakageni

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2011
14,539 2,000
Unfortunately ni hospitali chache sana zinazopima allergy! Lugalo hawa wezi, Amana, Mnazi Mmoja, Mwananyamala na Temeke hawawezi (kwa Dar)

Kairuki wanaweza na wababe Muhimbili kama kawa

Kipimo chake ni kama elfu themanini hivi.

Na wanakuambia kama ni allerge basi ni ya kitu (vitu) gani
 
Superior 01

Superior 01

Member
Joined
Apr 16, 2019
Messages
19
Points
45
Superior 01

Superior 01

Member
Joined Apr 16, 2019
19 45
Habari wapendwa ni muda takribani miaka 6 tatizo la miwasho mwilini baada ya kutoka kuoga linanisumbua japo si kwa mfululizo ila linakuwa kali zaidi kipindi hiki cha unyevu unyevu kutokana na mvua.
Nimekuwa mtu wa kuandikiwa vidongo vya allege mala cetrizen, priton lakini kiukweli havisaidii.
Muda wa kujiandaa hasa baada ya kutoka kuoga ili kutoka nje inanichukua muda kutokana na adha hii ya miwasho ambayo huchukua takribani lisaa kuacha.
Kuna wakati hali hii hutoweka kabisa huweza kuchukua wiki nikasahau kabisa ila linaporudi huja kasi na halichagui maji yawe ya chumvi (magumu) au mvua, nk hii hali hutokea tu.Naomba nisihusishe kiundani maumivu ninayopitia na maelezo ya hapa maana nitaandika sana niishie hapa Watalaamu wa kada hii naombeni msaada wenu ziwe dawa za asili ama za kitaalamu mahospitalini nitashukulu sana.
Nenda duka la dawa nunua dawa alergy zaiitwa ‘Loratadine’ Utapona
 
Drydon

Drydon

Member
Joined
Mar 11, 2019
Messages
36
Points
95
Drydon

Drydon

Member
Joined Mar 11, 2019
36 95
Pole sana ndugu, tumia hii dozi japo wiki moja mkuu, 1. Bircabone

Tumia mchanganyiko huu 1. Apple cider vinegar au juice ya ndimu vijiko viwili vya Chakula. 2.Baking soda kijiko kimoja cha chai na glass moja ya maji.
Weka baking soda kwenye chombo ikifuatiwa na Apple cider vinegar au juice ya ndimu koronga vizuri then maji koronga tena vizuri halafu kunywa kila asubuhi ukiwa hujala chochote fanya hivi kwa muda wa wiki moja, wajawazito wanashauriwa kutotumia.
Barking soda na limao huu ni mrejesho wangu mzuri kwenu. Nitazidi kuwajuza kama itajirudia tena maana week yote tangu nitumie haikurudi tena ile hali ya miwasho japo bado nitahitaji msaada wa kitaalamu wa madhara ya huu mchanganyiko kwa wataalamu. Ahsante sana
 
Abdulh saidy

Abdulh saidy

Member
Joined
Aug 8, 2018
Messages
17
Points
45
Abdulh saidy

Abdulh saidy

Member
Joined Aug 8, 2018
17 45
Habari wapendwa ni muda takribani miaka 6 tatizo la miwasho mwilini baada ya kutoka kuoga linanisumbua japo si kwa mfululizo ila linakuwa kali zaidi kipindi hiki cha unyevu unyevu kutokana na mvua.
Nimekuwa mtu wa kuandikiwa vidongo vya allege mala cetrizen, priton lakini kiukweli havisaidii.
Muda wa kujiandaa hasa baada ya kutoka kuoga ili kutoka nje inanichukua muda kutokana na adha hii ya miwasho ambayo huchukua takribani lisaa kuacha.
Kuna wakati hali hii hutoweka kabisa huweza kuchukua wiki nikasahau kabisa ila linaporudi huja kasi na halichagui maji yawe ya chumvi (magumu) au mvua, nk hii hali hutokea tu.Naomba nisihusishe kiundani maumivu ninayopitia na maelezo ya hapa maana nitaandika sana niishie hapa Watalaamu wa kada hii naombeni msaada wenu ziwe dawa za asili ama za kitaalamu mahospitalini nitashukulu sana.
njoo ofsin kwangu upate sindano za allergic pamoja na antihistamine strong pamoja na cream hapo mwisho wa tatizo
 
Forum statistics

Threads 1,295,998
Members 498,495
Posts 31,230,267
Top